Shirika la Habari la AhlulBayt (a.s) - ABNA-: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah SAyyId Ali Khamenei Jumanne amefanya ziara katika hafla iliyofanyika ili kuonesha mafanikio ya sekta binafsi.
Tukio la kitaifa la uwezo na mafanikio ya sekta ya kibinafsi kwa jina "Pioneers of Progress / Waanzilishi wa Maendeleo" lilianza Jumanne asubuhi.
Kundi la wazalishaji na wanaharakati wa sekta za kibinafsi watakutana pia na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Hosseiniyyah ya Imam Khomeini Jumatano asubuhi.
Your Comment